Abbah’s Antonia Lyrics (Ft. Harmonize)

35

Antonia, Antonia (Sound by Abbah) Antonia, Antonia

Ningalikuwa na uwezo Ningalikujengea nyumba Na kukununulia gari  Gari la upendo

Ama nipulize kitezo Nikurogezee dumba Wanga wakupikie mbali Unizidishie pendo

Maana penzi kidonda Hata nikikonda litabaki kovu Sitaki mawazo kukonda Kesho nikikuona nianze toa povu

Maana moyo unaona vya ndani Ambavyo hata macho yahawezi kutazama Hivi ni kweli utakuwa nami leo Na kesho mtondogoo kiama

Will you be my spouse? Antonia Will you be my spouse? Antonia

—-


Abbah’s Antonia Lyrics (Ft. Harmonize).For More Article Visit Anxiousfrogs

Comments are closed.