Drip Eye’s Abdala Lyrics (Ft. Mbuzi Gang, Harry Craze )

74

Kaskazini kuna makwela Tusker tusker mbili pewa na chaser Cheki wanabonga ati ju si tunatesa Vunjika shingo ju nyuma imewesa

Abdalla dalla child dalla Tuko sherehe mashida inshallah Weka magenge na rumba za wababa Tuzirushe mikono ju ngoma inabamba

Nyongi ya nani iko dororo  Huwezi place guess na kasimu Motorollo Domo ting ye hupenda yangu chini lolo Ju ya D chuo kugeuzwa soko soko

Koko jiko kwera shimo wera iko kokoriko niite jogoo pewa mwiko Mbleina siko mashiro naitwa Shiko Na kachipo Abdalla kaingia tiko

Kaskazini kuna makwela Tusker tusker mbili pewa na chaser Cheki wanabonga ati ju si tunatesa Vunjika shingo ju nyuma imewesa

Abdalla dalla child dalla Tuko sherehe mashida inshallah Weka magenge na rumba za wababa Tuzirushe mikono ju ngoma inabamba

—– —-

Drip Eye’s Abdala Lyrics (Ft. Mbuzi Gang, Harry Craze ).For More Article Visit Anxiousfrogs

Comments are closed.