Lomodo’s Chonde Lyrics (Ft. Hiro)

23

Nahisi wewe ndo wa kwanza Na wa mwisho kwenye dunia Maana furaha yangu  Umeibeba umeibeba

Unanilea ka kichanga Unanibembeleza najilalia Usijeniacha peke yangu Solemba solemba

Naridhishwa na yako mapenzi Unanikosha roho Na kukutenda mi siwezi Mi nawe goma roho

Tena mapenzi siri Mapenzi uvumilivu Ukinipenda nami kakupenda Hio inatosha

Usijeniacha pindi nikikosa Chonde chonde chonde Mi ni wako usinihesabu makosa Chonde chonde chonde

Kunipenda tu hio inatosha Chonde chonde chonde We ni wangu, my child child child Chonde chonde chonde

Chunga kuna wavimba macho na vigagura Mabarobaro wauza sura Wasijekukuteka ukaniacha bila Oooh bila

Naona raha zaidi  Nanogewa utamu utamu Nipe yote nifaidi Usiongeze mwingine utaleta jam

Usijebadilika mama Mi mgonjwa wako tayari kwenye machela Mapenzi yanauma sana  Ooh darling, ooh darling 

Naridhishwa na yako mapenzi Unanikosha roho Na kukutenda mi siwezi Mi nawe goma roho

Tena mapenzi siri Mapenzi uvumilivu Ukinipenda nami kakupenda Hio inatosha

Usijeniacha pindi nikikosa Chonde chonde chonde Mi ni wako usinihesabu makosa Chonde chonde chonde

Kunipenda tu hio inatosha Chonde chonde chonde We ni wangu, my child child child Chonde chonde chonde

Lomodo’s Chonde Lyrics (Ft. Hiro).For More Article Visit Anxiousfrogs

Comments are closed.