Masauti’s koroga Lyrics

33

Masauti, Kenyan Boy  (It’s Bonga), 001 Mmmh mmmh …

Penzi lake mwana shango  Moyo wangu kwake chambo Ndo ananifanya nawaza Chozi langu wapi chanzo Limegeuka tangazo Sisemi kanyamaza mmmh

Sa yamenifikaga mani Yanapuputikaga mani, aki naumia  Sina pa kushika jamani sijidhamani Zangia mmmh

Mapenzi gololi nimedema Ndovu kibori sina jema Nina mengi ila nashindwa kusema mmh Mwenzake sifichi zilipenya  Ata siridhiki nikihema Japo sio chanda chema 

Aah mi umenikoroga, koroga koroga Yeah umenikoroga, koroga koroga Mimi umenikoroga, koroga koroga Aaah umenikoroga, koroga koroga Aah, nikoroga….

Labda penzi bahati mi Kama sina ndio basi najichosha bana mmh Naezeka mabati naziba nyufa  Ila yeye ndo analete panya

—–

——-


Masauti’s koroga Lyrics.For More Article Visit Anxiousfrogs

Comments are closed.